Dira na Dhima

Dira

Kuwa mfano bora katika utoaji wa huduma za Afya zenye usawa katika jamii.

Dhima

Kutoa huduma za rufaa zenye viwango vya juu na  ubora kwa jamii kwa kutumia madaktari wabobezi na wazoefu pamoja na rasilimali zingine zilizopo.