Outpatient Services

Hizi ni huduma zitolewazo kwa Wagonjwa wote wanaofika hospitalini na kurudi nyumbani kwao kwa maana ya kuwa hawalazwi.

Baadhi ya huduma hizo ni:

  1. Ushauri wa Daktari
  2. Uchunguzi wa Maabara
  3. Huduma ya Mionzi