All Clinics
Akina mama na akina baba wanapata huduma za uzazi
Kliniki ya Moyo hufanyika kwa siku mbili ndani ya wiki moja ambapo wataalam wetu huhudumia wagonjwa kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tisa na nusu alasiri.
Wagonjwa wote wanatakiwakuanzia mapokezi kwa ajili ya kupokelewa pamoja na kuzingatia tarehe zao za kliniki ili kuepuka usumbufu