Kliniki ya Moyo

Posted on: September 25th, 2022

Kliniki ya Moyo hufanyika kwa siku mbili ndani ya wiki moja ambapo wataalam wetu huhudumia wagonjwa kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tisa na nusu alasiri.