Kufika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ?

Kutokea stendi ya mabasi  chukua usafiri wa Bajaj au pikipiki  mweleze dereva unaenda Hospitali ya Mkoa wa Geita atakufikisha getini.

Kwa mwenda kwa miguu Kutokea stendi tembea hadi mjini karibu na Soko Kuu la Dhahabu kata mkono wa kulia barabara ya NMB bank tembea hadi upate barabara ya lami inayokata kushoto ingia katika barabara hiyo mita 100 utakuwa umefika geti la Hospitali.